Uploaded By
VIEW PROFILE
192 Followers
Katika hii dunia ya dhambi tunapatwa na magonjwa lakini pia changamoto nyingi sana maishani hata wakati mwingine kukata tamaa na kuamua kwenda kwa waganga tukiamini kuna tumaini na kumsahau MUNGU mwisho wake ni majuto kwetu
Lakini je wajua DAWA iliyo bora kwa magonjwa meeengi yanayotusumbua?
#KUIMBANIDAWAILIYOBORA
#IMBA
- Release Date:September 27, 2024
- Album:Niite
- Producer:Bjbrand
- Genre:




