Kwa majina naitwa Taveta Prince nawakaribisha kutazama Ngoma yangu mpya nilio mshirikisha prince B kutoka kenya itakayo kuja kwa jina la HOLIDAY official video
Ni Ngoma yenye hisia zakuchezeka na kuskilizika hususan kwenye party,ber na sehemu nyingine zenye vibe
Niwimbo usiokua na maudhui ya matusi niwimbo utakao Skiliza na...