#UmestahiliYEsu #Youdeserve #tafesaru
Ufunuo 4:10 -11 wale wazee ishirini na wanne walianguka mbele zake yeye aliyeketi kwenye kiti cha enzi na kumwabudu yeye aliye hai milele na milele. Wakaziweka taji zao mbele ya kile kiti cha enzi wakisema,
11 “Bwana wetu na Mungu wetu, wewe umestahili kupokea utukufu na...
- Producer:Ezek Music
- Release Date:November 8, 2022Ⓡ





