Simulizi ya Mtoto Malatwe ni Simulizi inayomhusu Malatwe mtoto ambaye kapitia magumu mengi katika safari yake ya maisha kuanzia udogo wake mpaka ukubwa. Simulizi inaanzia pale ambapo mama yake alimkimbia na kwenda kusikojulikana huku akimuacha yeye na mdogo wake Kaisi. Walipambana sana kuhakikisha maisha yanakwenda na masomo pia lakini wakati...
- Producer:Sultan Uwezo Entertainment
- Release Date:October 9, 2021





