Humu ndani kumeelezwa namna binadam unaweza mtendea vyema na bado asirejeshe shukran ila usitegemee zaidi kwa binadam mwenzio mlipaji ni mannan
Imani yangu utaburudika, utaelimika. Na mwisho naomba unsaidie kushare
- Producer:Bahru beats
- Release Date:April 19, 2024



