"Utanijibu" ni wimbo wa maombi.,unaokumbusha ahadi ya Mungu kututoa kwenye hali ya matatizo na taabu zinazotusonga..,hata hvyo yeye ni Mungu anaejibu kwa majira na nyakati anazoona zinafaa..hatuna budi kuomba na kumkumbusha Mungu na kuvumilia mpka atakapoona inatosha kuzunguka jangwani kwa miaka arobaini"
- Producer:Bill ink
- Release Date:March 8, 2024
- Album:Kesho

