Ujue nakupenda
Kuwa nawe me nimeridhia
Sitokuacha ukaenda
Amini me navyokwambia
Sijawahi jutia
Tangu niwe na ww kwenye mahusiano
Amani na sikia
Kweli hili penz halina mfano
Huwa na waza
Hiv ulikuwaga wapi we mwelewa
Nakuuliza
Mbona kuja kwangu umechelewa
Sikia nikwambie
Nilipokuwa ilikuwa maumivu tu
Yakafanya nilie
Nikose amani siuone wangu Utu
Me ninakuamini x4
- Producer:Dayzo
- Release Date:December 11, 2022
- Album:Deal done




