Sonic they call me sonic
We ndo ulikuja kuniokoa nisikuongopee nilitingwa vibaya
Ata kichwani sikopoa nishauzaga roho nikaamua kua malaya
Ubaya atuzaliwi nao dunia inatupandikiza mana tunaowapenda ndo hao hao wanaotumaliza kabisa
Najua nakudhalilisha nipe muda nitajirekebisha
Mwenzako nilikua nisha zoea nalewa mpaka najikojolea
Godoro nimenunua mimi lakini nalala chini ili nipate...
- Release Date:September 25, 2025β
- β SONIC TZ




