Kuna Siku ulizuka Mjadala katika moja la group la waddau wa Graphics design Tanzania kuhusiana na Sababu za kuwa na Uchache sana wa Graphics designer wanawake Tanzania?. Nikaona nimtafute mmoja wa mdada anaefanya Graphics design. Akaelezea kwa mantiki mbili ambazo ni
Changamoto
Tabia ama Hulka
Je una Maoni tofauti na haya...
- Release Date:May 23, 2020Ⓡ





