"Nasikia sauti nzuri, kama ya malaika. Ni sauti toka mbinguni ni sauti ya Mungu. Aniita mimi niende nikamtumikie,
Anitume shambani mwake, nikavune yote. Umeniita, nimeitika wito, nakuja kwako leo,
Najongea mbele zako ee Bwana nipokee mimi,
Niko tayari nimeyaacha yote najikabidhi kwako
Unitume popote nami nitakwenda haraka"
- Producer:Bj Brand(Bwanga)
- Release Date:October 1, 2021
- Album:Come Unto Me




