Neema Yako ni wimbo wa Dua kwa Mungu kwenye yale mambo ambayo yamekua maombi yetu ya muda mrefu kwa Mungu wetu na mengine tumeyakatia tamaa kwani katika Neema yake ipo nguvu ya kuendelea mbele, Katika Neema yake ipo nguvu ya kuanza upya! Katika Neema yake ipo nguvu ya kushinda yale...
- Release Date:January 20, 2023Ⓡ





