AHADI za Mungu ni KWELI na zimehakikishwa alilolisema hakuna wa kulipinga wala kulikataa, Wimbo huu NDIO ni ukiri wa Imani kwamba Mungu anaweza kufanya kile alichokisema na tunao ujasiri wa kusema "BABA, Ameamua, BABA amesema NDIO. Ni maombi yetu wimbo huu utafanyika baraka kwa mataifa na kila AHADI ya BABA...
- Release Date:January 31, 2022Ⓡ





