Uploaded By
VIEW PROFILE
1.04K Followers
🔥❤️ SATURDAY EVENING VIBEZ — MALAIKA SPECIAL ❤️🔥
Saturday imefika, na leo tunakuja na LOVE VIBEZ za ukweli! 🎧🌙✨
Karibu kwenye SATURDAY EVENING VIBEZ — MALAIKA SPECIAL, mix iliyotengenezwa kwa wale wanaopenda Bongo Flava, love songs na zile melodies zinazokufanya usimame kidogo, ufumbe macho na uache muziki uongee. ❤️🎶
Kutoka kwa sauti tamu za MBOSSO FT NANDY mpaka vibes za DIAMOND PLATNUMZ na HARMONIZE, hii ni combination ya mapenzi, nostalgia, emotions na pure Bongo Flava energy. 🇹🇿🔥
Na safari hii tunakuja na nguvu ya ma-DJ watatu:
🎧 DJ GIDS
🎧 DJ CHIGZKE
🎧 DJ SONCH
🔥 THE VIBEZ MASTER 🔥
Kama uko home Saturday evening, umechill na mtu wako ❤️, uko road 🚗, uko na headphones 🎧, ama umeamua tu kupumzika baada ya wiki ndefu — hii mix ni soundtrack yako ya leo. 🌙🔥
🎶 MALAIKA — MBOSSO FT NANDY
❤️ DIAMOND PLATNUMZ
🔥 HARMONIZE
🎧 DJ GIDS X DJ CHIGZKE X DJ SONCH
This one is for the lovers, the heartbreakers, the romantics, the late-night thinkers and everyone who understands that sometimes music says what words can't. ❤️🔥🥹
Usiskip hii vibe. 🔥
Put your headphones on 🎧
Turn the volume up 🔊
Relax… and let BONGO LOVE ZONE take over your Saturday evening. ❤️🎶
👇 COMMENT “MALAIKA” ❤️ kama h
- Release Date:August 23, 2026
- Producer:DJGIDS254
- Genre:Afrosounds
