|
|
Upload

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

2 Followers

Kama unafurahia mapenzi yako na mwezako Basi hii ngoma ni kwaajili yako.❤️❤️❤️❤️ Angelah" Ni wimbo unaohusu kujenga upendo Kati ya wawili wapendanao kwa dhati japo wawili hao wanaweza kupitia changamoto na vikwazo. Tumia muda huu kuskiliza wimbo na kushare kwa mtu wako wa karibu ambaye unhitaji apate ujumbe huu. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
  • Release Date:March 15, 2024
  • Album:Angelah
  • Producer:RAIJAR BORNY
  • Genre:Afrosounds
37Total plays
1Re-Ups