Uploaded By
VIEW PROFILE
37 Followers
Eeh Mungu mume wa wajene eeh,
Eeh Baba kimbilio letu ooh.
Eeh Mungu Baba wa yatima aah,
Eeh Baba tegemeo letu ooh.
Sitochoka kupiga magoti kuomba msaada nikiamini ipo siku utanipatia,
Sitochoka kupiga magoti kuongeza ibada.
Nainua mikono juu
Unatenda makuu, unatenda makuu maishani mwangu.
Nainua mikono juu
Unatenda makuu, unatenda makuu maishani mwangu.
CHORUS
Uliumba mbingu na ardhi na dunia na vyote vilivyo ndani eeh,
Wazima, machizi na mafukara, matajiri wenye mali eeh,
Mbingu na ardhi na dunia na vyote vilivyo ndani eeh,
Wazima, machizi na mafukara, matajiri wenye mali eeh,
Hakika wewe,mtukufu wee,
Hakika wewe,mwenye upendo wee,
Hakika wewe,mwenye huruma baba eeeh
- Release Date:March 17, 2017
- Producer:Emma Shentee
- Genre:Gospel





