Uploaded By
VIEW PROFILE
1.82K Followers
Uzuri wa Sura sio wa roho
Ulinde sana wako moyo
Anaye kuumiza usimpe cheo
Usingoje kesho mteme leo
Mapenzi ya moto,Eti kisa maokoto
Unajitesa na msoto,Utimize na ndoto
Weka chini hizo ndoto, tunza huo moyo
Yupo wako wa moyo
Mbona flani alipenda tena
Akapendwa tena
Hata huyu alipenda tena
Akapendwa tena
Mbona mimi nilipenda tena
Nika pendwa tena
Hata wewe utapenda tena
Utapendwa tena
Subira uleta matokeo
Utayasahau yote kesho
Jipende jipe upendeleo
Thamini maisha ishi leo
Mapenzi ya moto,Eti kisa maokoto
Unajitesa na msoto,Utimize na ndoto
Weka chini hizo ndoto, we tunze huo moyo
Yupo wako wa moyo
Usiogope utapenda tena
Utapendwa tena
Mbona flani alipendwa tena
Akapenda tena
Hata me nilipenda tena
Nika pendwa tena
Hata wewe utapendwa tena
Utapenda
- Release Date:September 20, 2026Ⓡ
- Producer:E-Music
- Genre:Afrosounds





