Kupambana na kumuomba mungu ndo njia pekee ya kukutoa kwenye changamoto unazopitia na pia kuwavumilia wapendwa wetu katika kila kipindi Kunatia nguvu huu wimbo wa USICHOKE ukakutie Imani wewe kwa kumvumilia unayempenda mkiamini siku yenu inakuja ENJOY
- Producer:Master Remark
- Release Date:July 22, 2024




