#NikiliaYahwhe #wanisaidia ni wimbo wa kumwabudu Mungu ulioimbwa Live na kikundi cha kusifu na kuabudu kutoka TAFES Chuo kikuu Ardhi, #tafesaru Mungu akubariki wakati ukiangalia na kusambaza ujumbe wake kupitia uimbaji.
- Release Date:August 12, 2021




