Wimbo huu ume tengenezwa ka ajili ya Kuunga mkono juhudi za Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia za kumtua mama kuna kichwani na kumuwekea miundombinu mbadala kuweza kupika bila kuharibu mazingira. For the love of clean cooking energy i dedicate this song to all Tanzanians and urge...
- Producer:Dobe pro
- Release Date:July 19, 2024




