Uploaded By
VIEW PROFILE
20 Followers
Wimbo huu ni Ushuhuda tosha wa maisha yangu ya kweli ambapo MUNGU amekua akinifanyia miujiza katika maisha yangu na kunipa vile ambavyo sikudhania, Ungana nami kwenye wimbo huu tukasikilize na kumsifu MUNGU kupitia ushuhuda huu.
- Release Date:October 19, 2024
- Producer:Samwel Meshack
- Genre:Gospel




