Wakati mwingine unaweza kuwa katika nyakati za kufanikiwa au kupungukiwa, unaweza kusahau kumshukuru Mungu kwa mambo uliyofanikiwa au kutofanikiwa. Hakuna wakati mzuri wa kuweka mahusiano yako karibu na Mungu kama wakati huu, ukija mbele zake kwa moyo wa shukurani na kusema ASANTE - Hii ndio sauti Muhimu ...