Utoshe usichoke
Nahisi ni bahati
Mimi nawewe kukutana
Ni kwa hitaji la moyo wangu
Kumpata tutae shibana
Kitendawili tega “ tega”
Mimi na yeye twaelewana
Na shida kazibeba
Na watangoja kuachana “si sikii chochote”
Nimeridhika na wewe tu ujamaa “si sikii lolote”
Nimegoma masikio naziba “siendi popote
Na kama gari tayari umezima “mi kwa kiokote”
We nibebe mzima mzima
Nimekupenda nakuwekaa...
- Producer:Young Brown
- Release Date:February 3, 2025Ⓡ
- Album:Single




