|
|
Upload

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

310 Followers

Kazi ni wimbo wa kiroho unaowahamasisha vijana wote kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa. wimbo huu unakukumbusha kuwa kila hatua ya maisha ina baraka na Mungu yupo pamoja nawe katika kila struggle. Usikate tamaa, inuka, fanya kazi, na uangaze nuru yako kwa ajili ya Kristo. This is your season to shine! Umeandikwa na Benjamin E Masaba
  • Release Date:April 29, 2026
  • Producer:Mwamba Beats
  • Genre:Gospel
4.48KTotal plays
19Likes
5Re-Ups
31Playlist Adds