Katika wimbo huu, Munta Dee anazungumzia ukweli wa mapenzi ya mwanzo yenye miangaza ila baadaye yanavuja uongo. Mwanzo, mwanamke anajifanya mkali wa mapenzi, akidai hawezi kukuacha wala kukucheat, lakini baada ya muda unagundua makucha yake. Anadai aliteswa zamani na kwamba anataka kutulia—kumbe yote ni uwongo! Mapenzi yamejaa udanganyifu, na Munta...
- Release Date:April 24, 2025Ⓡ
- â„— Chamazi Music





