Asanteni sana kwa support yenu kubwa kwenye "Si Unajua". Huu ni Remix maalum nikiwa na Dulla Makabila β mfalme wa Singeli! π
Producer: Dully Kibody ποΈ
Mix & Mastering: Good Monster π§
Pusheni hadi iwe NUMBER 1 Tanzania! πͺ
Drop your location kama umenipata kutoka Audiomack Family π§‘
#VitaminMusic