Deluxe Edition | Vitamin Music EP 🎵
Baada ya viral TikTok clip iliyoibua hamasa kubwa kutoka kwa mashabiki, Msomali amefikisha rasmi wimbo huu unaosubiriwa kwa hamu! “Si Unajua?” ni collabo ya pili kati ya Msomali na Meddy Voice – na ni moja ya nyimbo zenye ujumbe mzito wa mapenzi na maumivu...