|
|
Upload
Yesu unipendaye - Tenzi No. 26 by Msifuni
Yesu unipendaye - Tenzi No. 26 by Msifuni

MsifuniYesu unipendaye - Tenzi No. 26

MsifuniYesu unipendaye - Tenzi No. 26

0:00
0.00% played
0:00

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

404 Followers

Yesu unipendaye Kwako nakimbilia, Ni wewe utoshaye, Mwovu akinijia; Yafiche ubavuni, Mwako maisha yangu; Nifiikishe mbinguni Wokoe moyo wangu. Ngome nyingine sina; Nategemea kwako. Usinitupe Bwana , Nipe neema yako, Ninakuamania Mwenye kuniwezesha; Shari wanikingia, Vitani wanitosha. Nakutaka Mpaji Vyote napata kwako; Niwapo muhitaji, Utanijazi vyako; Nao waangukao Wanyonge wape nguvu; Poza wauguao, Uongoze vipofu. Bwana umeniosha Moyo kwa damu yako; Neema ya kutosha Yapatikana kwako; Kwako Bwana naona Kisima cha uzima; Mwangu moyoni Bwana, Bubujika daima.
  • Release Date:January 23, 2026
  • Genre:Gospel
1.20KTotal plays
2Likes
5Playlist Adds