Kijana mwenye msuli we ni tone la manii,
na ukifa ni kazi yake mola ashasemaga madee,
Ndoto unazoota unatamani fullfill
Ila haujipiganii unajicheat , sio real ,
Wengine walipenda shule ila ada ilikuwa mchongo,
Na Walioenda Shule Wakadunda Necta kigongo,
Waliofaulu Kuja tu mtaani hamna michongo,
Chawa anaenda km vipofu tajiri chongo
Kupata riziki roho...