Uploaded By
VIEW PROFILE
5 Followers
Iko njia ni wimbo ambao umebeba matumaini mapya ya kurejesha nguvu upya katika safari ya maisha, kwamba inawezekana Kuna vipindi vigumu umepita katika maisha yako lakini bado lipo tumaini jipya hata katika hayo unayopitia Mungu bado anataka kujitwalia utukufu wake na katika hayo yote Mungu kaandaa kitu kizuri mbele yako
Romans 8:18
"I consider that the present sufferings are not worthy compared to the glory that will be revealed in us"
- Release Date:February 18, 2022
- Producer:Jommy
- Genre:Gospel
