Naitwa Map Mastar Mkm (Dj Map) maarufu kwa jina la Mapuli Misalaba ni mtangazaji na mwandishi wa habari nakaa Shinyanga najihusisha na mziki wa hip hop kwa mara nyingine tena natambulisha wimbo wangu unaokwenda kwa jina la Wazee wa kizazi kipya.
Nakuomba mtanzania mwenzangu sapoti kazi yangu ili kunitia moyo niongeze...