|
|
Upload
Neema yako. by Minister JK Shaker ft Martha clemence
Neema yako. by Minister JK Shaker ft Martha clemence

Minister JK Shaker ft Martha clemenceNeema yako.

Minister JK Shaker ft Martha clemenceNeema yako.

0:00
0.00% played
0:00

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

16 Followers

Shalom! Karibu kusikiliza ibada hii ambayo Mungu alinipa neema ya kuandika wimbo baada ya kunitoa katika mapito na changamoto nyingi na kukosa shuhuda, lakini neema ya Mungu ikanipa kustahili na kunifanya kuwa mtumishi wake, hakika ni neema yake ya pekee! Nakuomba usiache kushare na watu wengine ibada hii ili iwafikie watu wengi wakahudumiwe na ibada hii, lakini pua nyimbo hii itakusaidia kuitambua kazi ya neema ya Mungu kwenye maisha yako. Usiache kufollow na kushare page ili pia uweze kupata kazi nyingi nyingi. Mungu akubariki. shalom.
  • Release Date:March 3, 2024
  • Producer:icotouch sound
  • Genre:Gospel
83Total plays
2Likes