Siku zote kuishi / kuwa hai ni chaguo la kwanza la mwanadamu, na maana halisi ya kuishi ni kuwepo endapo nafsi( #ROHO )itatoweka basi hakuna maisha.
Uzuri na ubaya uonekana kama #Roho i hai, ntafanya lolote ulitakalo kama nikiwa hai. Fanya yote ila #roho ibaki hiisi ya Mungu.
- Producer:MelicXoundz Mbaba
- Release Date:May 25, 2023



