Uploaded By
VIEW PROFILE
126 Followers
Siko sawa ni wimbo ambao umegusa hisia za kweli kwangu kwasababu mifumo ya maisha na mahusiano kwa upande wangu imekuwa changamoto so nashindwa nini cha kufanya nabaki kujifariji kwa kicheko huku ndani na maumivu . SIKO SAWA jaman
- Release Date:July 13, 2025
- Producer:Plumber
- Genre:Afrosounds




