Ninayo sababu kusimama
Mbele za watu
kwa ujasiri
Mmmh
Niziseme shuhuda zako Bwana wangu
Jinsi
We ulivyo nisitiri
Nakama ungeniacha
Mi nisingeweza
Ningeli angamia
Angamia
Kwa nehema yako
Nimeweza
Maana umenisimamia
Simamia
Najitabiria
Mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU
Ninakiri
Kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu
Amen
Nikitamka
Amen
Vinatimia
Amen
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili
Amen
Nina imani nawe
Amen
Utafanya YESU
Amen
(Ooouuhuuu)
Kama ni mali...
- Producer:Mathias Walichupa
- Release Date:March 6, 2023Ⓡ





