Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE?Kama jibu lako ni hapana.Basi…Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili;1. Ongezeko la mtaji (Capital gain).2. kupata gawio (Divindend).Lakini…Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa...
- Release Date:April 14, 2025




