Habar kwenu wote...karibu kusikiliza ngoma mpya kabisa inayokwenda kwa jina la Do It.. Kwenye ngoma hii nmeendelea kutuma ujumbe kwa vijana kuhusu kupambana na maisha kama nlivyokua nafanya kwenye ngoma zangu zote zilizopita..!!Sisi kama vijana tuna wajibu wa kuitunza jamii kwa kukumbushana sisi vijana kuwajibika katika maisha yetu ya kila...
- Producer:HorayZone.
- Release Date:May 9, 2024




