Amani ni Tunda la Haki. Haki ndio Msingi wa Kila kitu. Pasipo Haki, hakuna Amani, hakuna Upendo.
Mama Kanisa anatuagiza kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, ili Haki hiyo ikazae Amani hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Haki Itamalaki, Haki itawale, Haki ishinde kila...
- Release Date:August 22, 2025
- Album:UCHAGUZI MWEMA




