Zipo nyakati ambazo wanadamu tunapitia kwa kujawa na tamaa, chuki na wivu kwa kuona mafanikio ya wengine kwa baraka ambazo Mungu ameachilia Juu yao hivyo tunakosa Uvumilivu wa kusubiri Kusudi la Mungu kujidhihilisha Juu yetu pia. Ni ombi langu kwako Mungu akujaze Pendo Lake ili uishi kwa upendo kama Kristo...
- Producer:Mixing Doctor
- Release Date:March 15, 2024Ⓡ





