Uploaded By
VIEW PROFILE
3 Followers
Mapenzi ni mchezo kama ilivyo michezo wanayocheza wachezaji wa mpira katika ukomo wa muda fulani, Hivyo hivyo muziki nao ni mchezo unaoburudisha na kutuchukua katika tafakari ya maisha kupitia ushairi, Nakukaribisha kuburudika na Bolingo, Karibu Tucheze.
- Release Date:April 1, 2024
- Producer:Billy Monster
- Genre:R&B




