Skip to main content

Joyce Chale Yesu ni mwamba wangu sitaogopa

Become the first supporter of Yesu ni mwamba wangu sitaogopa

Your profile will be publicly associated with this release on Audiomack.

0:003:13

Unapokuwa na hofu , unapotaka kufanya kitu , lakini rohoni unakuwa na uzito , unapopitia katika hali mazingira na watu wanakurudisha nyuma, kumbuka kuna nguvu katika ulimi. Tumia nguvu ya ulimi kwa jina la Yesu , kuzungumza uhai ndani yako , ndani ya maisha yako, na katika kazi zaki . Mungu akubariki

  • Producer: https://sfrbeats.com/
  • Album: Yesu ni mwamba wangu sitaogopa
  • Release Date:

2 Comments