Hakuna namna kamili ya kuelezea maumivu ya kuachwa na mtu uliye mpenda kiasi kwamba wengine hushindwa kuvumilia na kujidhuru/kujinyonga na wengine kilie kiasi kikubwa Cha upendo kati yao hungeuka uadui na kuishia kusemana vibaya na kulipana visasi.
Hakuna sababu ya kumchukia aliye kuacha badala yake unapaswa kuichukia sababu ya yeye kukuacha...