Artist: Imani Eric Shoo
Song: Yesu (Worship Medley)
Song of Prayer.
Lyrics
(--)
Mungu wa haki, Hakimu wa kweli
Ndiwe Bwana wangu Yesu
Unayebeba bonde za nchi
Ndiwe bwana wangu Yesu
Wewe Yeeeesuuu!
Mfalme Yeeeeesuuuu!
Mratibisha nyota na mwezi
Ndiwe Bwana wangu Yesu
Yeeeesuu!
Mfalme Yeeeesuuuu!
Msababisha Mbingu na Nchi eeeh Yeeeh
(--)
Tazama mimi ni Bwana
Mungu wa wote wenye mwili
Je kuna neno gumu nisiloweza?
Ni neno gani...
- Producer:Imani Eric Shoo
- Release Date:June 26, 2021



