Mbaya wangu ni Qaswida Special ambayo imeandaliwa kwa lengo la wale ambao wapo kwa ajili ya kufatilia mambo ya wenzao na kuacha ku deal na mambo ya kwao.
Hii inafunza kwamba kila mmoja afatilie maisha yake na aache ku deal na kusambaza maisha ya mwenzake.
- Producer:Bamih Sound
- Release Date:April 13, 2024





