Ni stori ya maumivu ya kumuamini mtu wa karibu. Unamfungua moyo wako, unampa siri zako, unamchukulia kama ndugu. Lakini badala ya kukulinda, yeye ndiye wa kwanza kwenda kuhadithia wengine. Ni uchungu wa kusalitiwa na mtu uliyemchagua kuwa upande wako — mtu ambaye ulimpa siri zako, halafu akakutumia kama hadithi ya...
- Release Date:November 21, 2025




