Ninayo imani kwamba Mungu Amekutendea mambo mengi sana kiasi kwamba hujaweza kuhesabu yote maana ni mengi kupita uwezo wako wa kuhesabu.
Wimbo huu ukawe ni wimbo wako wa kuelezea ni namna gani unampenda Yesu.
- Producer:BAND OF CHRIST
- Release Date:May 5, 2024
- Album:ASSURANCE AND BOLDNESS IN CHRIST




