Karibu kusikiliza wimbo huu, story fupi ya maisha iliyobadilisha maisha ya kijana aliyekuwa amepotea na kutekwa na dhambi, lakini ni kama muujiza jinsi alivyo acha dhambi na kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha.
- Release Date:October 24, 2025
- Album:UPENDO




