MIMI na WEWE ni nyimbo inayo onyesha mahusiano mazuri baina ya Mungu na mtumishi wake.
Pia hii nyimbo imetupa mwanga kidogo Ili tujue tufanye nn Ili tuwe na mahusiano mazuri na Mungu wetu.
Karibu tubarikiwe pamoja, kupitia ujumbe wa nyimbo hii #miminawewe #BigdadyMusic
Follow me Social Media
Instagram @grantcharles_tz
Facebook @Grant Charles
Twitter @Grant Charles