Uploaded By
VIEW PROFILE
10 Followers
Atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno zaidi ya tuombavyo ama tuwazavyo kwa kadri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu..
Neema ya Yesu ikafunike na ikakuwezeshe katika kila jambo, pindi utaposikia wimbo huu.
- Release Date:July 2, 2023
- Producer:Samwel Mwasita
- Genre:Gospel



