Lyrics
Chorus 01.
Yesu yu ndani yangu na mimi ndani yake
Verse 01
Yesu yu ndani yangu nami nimo ndani yake,
Natembea na Mungu.
Amenipa mamlaka juu ya n’ge na nyoka.
Natembe na Mungu.
Amenipa mamlaka juu ya mambo yote
Nina nguvu, nina nguvu za Mungu.
Chorus 2
Uko ndani yangu, niko ndani yako .
Verse 02
You left...