|
|
Upload

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

197 Followers

CCM ni wimbo maalum kwa akili ya Chama tawala pamoja na Mwenyekiti wake ambae Ndio Rais wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania MH:Samia suluhu hassan, dhumuni la wimbo huu ni kueleza mazuri anayofanya Rais pamoja na viongozi wake wa chini, Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu mpemdwa Samia suluhu hassan🙏
  • Release Date:December 17, 2024
  • Producer:Man water vs Galaxy Ikanda
  • Genre:Afrosounds
27Total plays
1Likes